Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

1000000 mkungu ya Ndizi

Bei ya jumia: 30,000/=
Kiboroloni, Kikarara Maembeni., Moshi mjini, Kilimanjaro

26 Sep (siku 24)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Tunauza na kusambaza Mikungu ya Ndizi mbichi na za kuivisha kulingana na mahitaji kwa mikoa yote Tanzania. Kwa sasa mashamba yapo Kilimanjaro kiboroloni mtaa wa kikarara maembeni. Bei zetu ni rafiki na mteja atahusika kugharamikia usafirishaji.

Lyatuu
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni