Back to ad listing
02 Jul (8 months ago)
Ni mpunga uliolimwa, kuvunwa na kuhifadhiwa kwa kufuata kanuni bora za kilimo. Umehifadhiwa katika ghala la Kaoze tayari kwa kuuzwa. Ghala lipo eneo zuri ambalo linafikika kwa urahisi (Barabara ya changalawe) KARIBUNI WATEJA!