Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

200 moja ya CHIA SEED's

Bei ya jumia: 15,000/=
Mkoani Street, Geita, Geita

11 Sep (kama miaka 2)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

CHIA SEEDS NI MOJAWAPO YA LISHE BORA DUNIANI NA ILIYOGUNDULIWA NA KULIMWA NCHINI MEXICO CHIA SEEDS INA MADINI YA OMEGA 3 ,3.5 times more Calcium than Milk ,,3 times more Iron than Spinach,, 8 times more Omega than Salmon fish ...
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA CHIA SEEDS
*Inatibu na kumaliza matatizo ya moyo kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo hayo
**Inasaidia kuongeza kumbukumbu kwa watu wazima na watoto (wenye matatizo ya kusahau)
**Inasafisha damu na kuongeza seli hai mwilini
**Inatibu presha kwa wenye matatizo ya pressure
**Inasaidia kuchoma mafuta yaliyozidi mwilini na hivyo kusaidia kupunguza uzito na unene
**Inasaidia watu wenye matatizo ya kisukari
**Inasaidia kulainisha ngozi na kuondoa mikunjo mwilini na kukufanya kuwa na muonekano bomba
**Inasaidia kukupa usingizi mzuri
**Inasaidia kwa wale watu waliovimbewa na kuondoa gesi kwa tumbo
**Inasaidia pia wamama wajawazito kujifungua mtoto mwenye afya kwani ina lishe bora
MATUMIZI ::Nyunyiza kijiko kimoja cha chakula kwenye kinywaji kama vile Juice,,Supu ,,Matunda na unaweza ipikia katika chakula pia.
_____na faida nyingine chungu nzima
Wahi na UJipatie bidhaa ya chia seed kwa matokeo ya afya bora zaidi na ni rahisi kutumia popote ulipo tunakufikia
Phone no +255 767 379 384

Calvin Peter
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni