Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

12 magunia ya Mchele

Bei ya jumia: 1,300/=
Mngeta, Kilombero, Morogoro

21 Mac (kama mwaka 1)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Nauza mchele ujazo wa kilo.100 Nauza jumla na rejareja bei ni tsh.1300 kwa kilo moja na tsh.120000 Kwa kilo 100. napatikana morogoro vijijini wilaya ya kilombero jimbo la mlimba tarafa ya mngeta kijiji cha mngeta.
mawasiliano.0621191804
email: jeremiahlameck435@gmail.com
facebook:lameck jeremiah.
karibuni sanaaaa.!

Lucas j mapundu
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni