Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

200 magunia ya Mpunga

Bei ya jumia: 60,000/=
Kaoze, Sumbawanga, Rukwa

2 Jul (miezi 7)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Ni mpunga uliolimwa, kuvunwa na kuhifadhiwa kwa kufuata kanuni bora za kilimo. Umehifadhiwa katika ghala la Kaoze tayari kwa kuuzwa. Ghala lipo eneo zuri ambalo linafikika kwa urahisi (Barabara ya changalawe)
KARIBUNI WATEJA!

SUKA
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni