3 Des (kama mwezi 1)
TUNA MASHAMBA YETU WENYEWE MOROGORO NA RUAHA MBUYUNI,MAUZO NI KWA BEI YA JUMLA,NA MAPATANO TUNAWEZA KUMSAFIRISHIA MTEJA MZIGO WAKE POPOTE ALIPO NA TUNATOA BEI NZURI NA USAFIRI UTAONGEZWA JUU YA BEI YA KUNUNUA T
KUTOKANA NA MTEJA ALIPO AU MTEJA ANAWEZA KUAMUA MWENYEWE KUJA KUCHUKUA SHAMBANI.MAZAO TULIYONAYO KWA KILA UNAPOFIKA MSIMU WAKE NI MAEMBE,NYANYA,BAMIA,PILIPILI HOHO.