Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

15 magunia ya Vitunguu

Bei ya jumia: 80,000/=
Turiani Bwagala, Mvomero, Morogoro

30 Des (miezi 3)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Mazungumzo yapo kwa atakaye fika bei yakuchukua mzigo wote.
Karibuni sana.

Gabriel
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni

    Gabriel
    Karibuni wateja wangu. Mzigo upo godauni panapo fikika vizuri kwa baisikeli, pikipiki au gari wakati au hali yoyote panafikika