29 Jan (kama mwezi 1)
Tunatengeneza seedling tray zenye mashimo 105 bora na imara kwa kutumia EPS (maboya) ambazo zinatunza unyevu unyevu na kufanya miche yako kuwa na afya bora na kusaidia mmea kukua kwa haraka.
Kwa mawasiliano zaidi ruksa kutupigia kwa number 0746 676 206 na kwa njia ya whats app tunapatikana kwa namba hiyo na leo ikiwa siku ya tatu tangu tupande mbegu zetu za nyanya na ishaanza kuchomoza hii ndo maana halisi ya kuwa insulated ya seedling tray za eps.