Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

1000 magunia ya Mchele

Bei ya jumia: 1,250/=
Tandale, Kinondoni, Dar es Salaam

8 Feb (siku 21)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Nauza mchele kwanzia elfu 125000 kwa gunia la kilo 100mchele wa kawaida hadi 190000 kwa gunia mchele super mahari tandale sokoni ukifika ulizia mgumu store tunauza jumla na rejareja

Enock
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni