Rudisha matangazo ya mazao

Kuuza

130 magunia ya Mahindi

Bei ya jumia: 55,000/=
Lubilii, Simanjiro, Manyara

16 Mac (miezi 3)

Ujumbe kutoka kwa muuzaji:

Mahindi hayo utayafuata mwenyewe kijijini lubilii mkoa was manyara wilaya ya semanjiro, kiurahisi kulingana na mahali ulipo pia waweza kupitia njia ya mwanga mkoa wa kilimanjaro- nyumba ya mungu unavuka ng'ambo na kuja moja kwa moja hadi kijijini lubilii

Deodatus
Muuzaji mpya

Tengeneza akaunti au ingia kujumbe huyu


Jisajili Ingia

Kuacha Maoni