Karibu NINAYO! Mtandao wa bure unaotoa huduma za mauzo na ununuzi wa mazao unaotumiwa na maelfu ya wakulima Tanzania. Hakuna gharama za kuweka matangazo ya kununua na kuuza mazao, na ni njia rahisi ya kupata pesa zaidi kutokana na mazao yako.

Kuweka tangazo la bure la kununua au kuuza bidhaa/mazao, chagua “ninataka kuuza” katika ukurasa wa mwanzo. Jaza fomu, kisha bofya “tangaza” na Baada ya kumaliza kutangaza Wanunuzi na wauzaji watawasiliana nawe wakivutiwa na tangazo lako.

Kuona matangazo ya mazao yanayouzwa, chagua “pitia orodha ya matangazo kuona bei za mazao” katika ukurasa wa mwanzo. Juu ya ukurasa, unaweza kubadili vigezo ili uone mazao au maeneo maalum, kisha chagua tangazo linalo kidhi mahitaji yako. Tumia vitufe vya "Piga Simu", "SMS", na "Ujumbe" kuwasiliana na muuzaji na kujadili mauziano.

Kurudi ukurasa wa mwanzo, bofya kwenye alama ya NINAYO hapo juu.

Tupe maoni au mapendekezo yako kuhusu NINAYO kwa kupitia info@ninayo.com

Kama una maswali au tatizo, tafadhali wasiliana nasi kwa kupitia support@ninayo.com

Jisajili Ingia
Kutana na uongozi wa Ninayo.com

Wawakilishi wetu wako tiyari kukusaidia upate bei nzuri zinazopatikana

Kama utakuwa unahitaji msaada, jisikie huru kuwasiliana nao.

Watakuwa wanakupigia simu Mara kwa Mara ili kuwasiliana na we we.


Jina: Maurus Nchimbi
Simu: 0765520038
Mahali: Ruvuma, Dar
Barua pepe:
maurus@ninayo.com

Jina: Bovan M Jankey
Simu: 0713352562
Mahali: Iringa, Njombe, Morogoro

Rudi ukurasa wa mwanzo